Psalms 119:161

Kujiweka Wakfu Kwa Sheria Ya Bwana

161 aWatawala wamenitesa bila sababu,
lakini moyo wangu unatetemeka kwa neno lako.
Copyright information for SwhNEN